NYOTA YAKO LEO ALIHAMISI JULAI 25/2019:
☣️SIMBA LEO– (Julai 24– Agosti 23)
Utaingia kwenye kazi ambayo hukuwahi kuifanya mafanikio yapo baada ya kutoka jasho Sana Jichunge Sana na hali ya afya yako pia uwe na Tahadhari ya kutoamini kila mtu.
☣️MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Una mwezi mmoja utapata unachokitarajia Mambo yako yatakaa sawa endelea kupembua Mambo unayoona yatakupa mafanikio majibu Kama utafanya upembuzi basi siku ya Ijumaa itafaa.
☣️MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Kuna Jambo zuri lakini wewe litakukasirisha kutokana na kutolijua mtaji wako ni Kuwa msahevu utaona faida yake wenye nyota hii watapata mialiko yenye maslahi kwao.
☣️NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Utajikuta mwenye hofu ndani ya mwili wako kiafya utaendelea kuwa vizuri na hata Kama utapata tatizo basi litakuwa ni la muda Sana kinachokufanya ufikiri pia kitapata suluhisho jepesi wiki hii.
☣️MSHALE– (Novemba 23– Desemba 21)
Jambo ulilokuwa na shida nalo au kukutatiza Sasa lina nafasi ya kukuweka huru ndiyo kipindi chako kizuri cha kumaliza machungu mengi yanayokusumbua pia kipato kitakuwa vizuri.
☣️MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Unaweza kuongopewa nawe ukaamini hivyo tahadhali Usifanye Biashara usiyokuwa na uhakika nayo pia usijiingize Katika mapenzi ghafla ni muda unaotakiwa kuishi kwa kujituliza unaweza kuingia kwenye mkosi.
☣️NDOO– (January 20– February 19)
Utafutahia Jambo fulani litakaloletwa au kusimuliwa na mtu unayeishi mbali naye Endapo utashirikishwa Jambo lenye manufaa Kama pesa au Mali fulani utafanikisha.
☣️SAMAKI– (February 20– March 20)
Mambo matatu yatakuumiza kichwa familia safari na kufanikisha Jambo muhimu kwa maisha yako yakikujia yote kwa Pamoja basi safari ipe namba moja familia ipe ya mwisho maana itahitaji utakachvuna safarini.
☣️PUNDA– (March 20– April 20)
Japokuwa ni vigumu lakini utahitajika kuomba msamaha kwa mtu yeyote unayehisi ulimkosea huo ndiyo ufunguo wa baraka zako majibu ya unachokitaka utayapata mara moja.
☣️NG'OMBE- (April 21– May 21)
Mambo yako yanahitaji kukaa kwenye mkusanyiko wa watu au kuomba Pamoja kinyume Cha hapo utahisi unatengwa na Mambo yanaweza yakaharibika masuala ya pesa yanahitaji ubadilike kwanza kwa kurudi kwenye Njia yako sahii.
☣️MAPACHA– (May 22– Juni 21)
Nafasi yako kubwa yenye heshima kwa jamii bado ipo kinachokuharibia ni vile tu unavyodhani kila mtu anapenda mafanikio yako geuka nyuma uangalia ulipojikwa ili usirudi tena hapo.
☣️KAA– (Juni 21– Julai 23)
Kaa mbali na mtu anayehitaji kukukopa au kukuazima kitu atakuletea hasara au ugomvi mkubwa kwa mtu SHEIKHE ISAYA ANASHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment