NYOTA YAKO LEO ALIHAMISI JULAI 18/2019:
☣️SIMBA LEO– (Julai 24– Agosti 23)
Utakuwa mwenye Safari nyingi zenye malengo makubwa chunga Sana usiamini kila mtu ipo hatari ya kupoteza Mali au matumaini kwa kuchukizwa na Jambo fulani.
☣️MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Wanaodai au kudaiwa watalipa na kulipwa Kuna mambo matatu unafikilia kuyafanya angalia yale ya karibu ambayo ni rahisi kuyaona na kukupa moyo zaidi bado riziki zitaongezeka na hali yako Kuwa sawa zaidi.
☣️MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)
Unajisahau katika maombi hili linakuvurugia mambo mengine hata riziki pia maradhi yanaendelea kukusumbua wewe au familia yako amka Sasa utafute maisha huku ukikaribia maombi.
☣️NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Unajikuta ukikosa raha kwa kuvurugika kwa mipango yako Sarafu unazovuna kwa Sasa siyo kipato chako halisi riziki zako zimekuwa zenye masharti ambayo wewe kwa makusudi au kutojua hutekelezi.
☣️MSHALE– (Novemba 22– Desemba 21)
Usikimbie matatizo inabidi kukabiliana nayo una nafasi nyingi za kutafuta suluhu lakini unadharau tafuta ushauri na riziki kwa juhudi utasahau mateso ya Sasa.
☣️MBUZI– (Desemba 23– January 20)
Wenye nyota hii watakuwa wenye baraka ya kupata wanachohitaji bali mioyo itakosa raha na amani hizo ni dalili za kukumbushwa kusaidia familia walizozisahau au kuzitelekeza.
☣️NDOO– (January 20– February 19)
Utashuhudia dhulma ikifanyika kwa mtu unayempenda hili litakuumiza lakini mwisho wake wewe utakuwa ndiyo suluhu upokee urafiki mpya unaokuja siku za Jumatano ni nzuri kuomba dua.
☣️SAMAKI– (February 20– March 20)
Ulichokuwa ukikitafuta kinakuja licha ya wewe kuonyesha kukata tamaa jumuika katika maombi na kuomba radhi Kama uliwakosea wazee au mtu wa karibu yako aliyekuzidi umri utakaa sawa.
☣️PUNDA– (March 20– April 20)
Wenye nyota hii licha ya kuwa katika matumaini makubwa wakisubiri ahadi zao likini watasumbuliwa na maumivu ya kichwa na kipanda uso wanatakiwa watulie na kupata kinywaji baridi au maji ya dua kuwaponyesha.
☣️NG'OMBE- (April 21– May 21)
Furaha itazidi kutoweka utahisi kufanyiwa uadui lakini ujielewe tu nguvu yako Ni kubwa lakini hujiamini na haijatokea kuaminishwa na unayemuamini waweza kupata furaha na mafanikio ndani ya mwezi huu.
☣️MAPACHA– (May 22– Juni 21)
Utasikia kelele zitakazokufanya uingie katika mzozo mkubwa unashauriwa kuwa mwenye subira na utakayejiweka pembeni na matatizo yakijamii bahati ya kipato iko kuribu yako.
☣️KAA– (Juni 21· Julai 23)
Mafanikio na utatuzi wa Jambo linalokuumiza katika maisha litakwisha siku utakayoshiriki kuomba ukichanganyika katika makundi kumbuka kujitenga kwako kunakukosesha mambo muhimu
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURUMWENYEZI kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi kufaulu masomo, na naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya Facebook tumaini tiba asili utaona yota kila siku SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment