Search This Blog

Monday, July 29, 2019

Mwandishi Aliedaiwa Kutekwa Anashikiliwa na Polisi, RPC Athibitisha (Audio)



Leo July 29, 2019 Kamanda Jeshi la Polisi Kinondoni Mussa Taibu amesema ni kweli Jeshi la Polisi linamshikilia Mwandishi Erick Kabendera na yupo anahojiwa ila kuhusu kuachiwa itategemea baada ya kumaliza kumhoji.

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...