Search This Blog

Sunday, July 28, 2019

Muigizaji Minnie Mouse 'Halisi' afariki Dunia


Muigizaji wa Marekani Russi Taylor, ambaye amekuwa akiigiza sauti ya kikaragosi Minnie Mouse kwa zaidi ya miaka 30 amefariki dunia akiwa na umr wa miaka 75.

Muigizaji huyo alifariki katika kitongoji cha Glendale huko California na kampuni ya Walt Disney inayosimamia uzalishwaji wa vikaragosi vya Mickey Mouse na Minnie imethibitisha kutokea kwa kifo hicho.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...