Search This Blog
Tuesday, July 30, 2019
Mtoto wa miaka 8 afariki kwa kusukumwa kwenye Treni
Mtoto mwenye umri wa miaka 8 amefariki baada ya yeye na mama yake kusukumwa kwenye treni iliyokuwa imeanza kushika mwendo katika kituo kikuu cha reli cha Frankfurt siku ya Jumatatu asubuhi.
Mama wa mtoto huyo aliweza kujiokoa na akapelekwa hospitalini, vyombo vya habari vya Ujerumani BILD viliwanukuu polisi wa eneo hilo wakisema.
Mtuhumiwa wa tukio hilo aliweza kukamatwa na kulingana na taarifa iliyotolewa na polisi hakukuwa na uhusiano wowote katio ya mtuhumiwa huyo mwenye umri wa miaka 40 na wahasiriwa.
Hapo awali alikuwa amejaribu kumsukuma mtu mwingine lakini hakufanikiwa na polisi wanafanya uchunguzi ili kubaini kusudi lake na historia yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment