Search This Blog
Sunday, July 21, 2019
Lema azungumzia suala la mawasiliano ya watu kuyarushwa mitandaoni
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kuwa kuingilia mawasiliano ya watu na kuyarusha mitandaoni ni jambo gumu sana ukilitafakali.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuzuka tabia ya kuzuka kuenea sauti mitandaoni zinazodaiwa kuwa ni za wanasiasa jambo ambalo mpaka sasa hakuna anaejua kuwa ni kweli au lah.
"Kuingilia mawasiliano ya watu na kuyarusha mitandaoni ni jambo gumu sana ukilitafakari,lina ondoa heshima na utu,kwani ktk maongezi ya simu kuna zaidi ya siasa,kuna mapenzi,biashara na mambo ya familia,kushangiliia jambo hili ni kukosa utu na adabu kwa kiwango cha hali ya juu." ameandika Lema kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Lema ni Mbunge ambaye amesimamishwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge mpaka ambapo ataanza kuhudhuria mwakani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment