Search This Blog

Thursday, July 25, 2019

Kwa Haya Anayonifanyia Shemeji Sijui Ananitaka Au Mawazo Yangu tu

Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpaka jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..

Yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.

Asanteni

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...