Kuelekea msimu wa soka wa 2019/20, Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems, amesema wachezaji wake wanatakiwa kuwa na uwezo wa kucheza zaidi ya nafasi moja uwanjani.
Aussems ameyasema hayo kwenye kambi ya Simba waliyoweka huko Rustenburg Afrika Kusini, ambapo yupo na timu kwaajili ya maandalizi ya msimu huu.
“Kwasasa nataka kuona wachezaji wakicheza nafasi zaidi ya moja sababu huu msimu nataka kuwa na mifumo miwili au mitatu”- amesema Aussems.
Aussems alianza majaribio ya jambo hilo kwa wachezaji wake katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Platinum Stars, ambapo wachezaji walicheza zaidi ya nafasi moja na Simba kushinda magoli 4-1.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment