Search This Blog
Sunday, July 21, 2019
January Makamba aandika maneno haya baada ya kutenguliwa uteuzi wake
Baada ya taarifa kuwa Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa January Makamba ambae alikua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na George Simbachawene kuteuliwa kuchukua nafasi hiyo, January Makamba ameandika yafuatayo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii.
“Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa 😊Nitasema zaidi siku zijazo” – January Makamba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment