Search This Blog
Tuesday, July 30, 2019
Huyu Hapa Nahodha Mpya wa Yanga Baada ya Ajibu Kutimkia Simba
Kiungo Papy Kabamba Tshishimbi ameteuliwa kuwa nahodha mkuu wa klabu ya Yanga kwa aajili ya msimu huu wa mashindano kufuatia nahodha wa zamani Ibrahim Ajibu kusajiliwa na Simba.
Read More:Nafasi za Ajira 291 Zilizotangazwa Leo
Wasaidizi wa Tshishimbi bado hawajatangazwa, uteuzi wa Tshishimbi umefanywa jana na kocha mkuu Mwinyi Zahera.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment