Search This Blog

Monday, July 8, 2019

House girl Aliemuua Bosi wake Alivyokamatwa Kiteknolojia (Video)


Ni story kutokea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwa ni muendelezo wa ushahidi wa kesi ya mauaji inayomkabili mfanyakazi wa ndani (House Girl) Onorina Shaban (19) anayedaiwa kumuua Bosi wake.

Ushahidi unaendelea kutolewa na Nume wa marehemu John Thomas mbele ya Naibu Msajili wa Mahakama, Pamela Mazengo huku akiongozwa na Wakili wa Serikali, Grace Mwanga.

Katika ushahidi uliopita Thomas aliishia jinsi walivyomzika mke wake huyo Sylvester Njau pamoja na hatua za upekuzi zilivyofanyika nyumbani kwake na kubaini kuvunjwa kwa makabati, kukutwa kwa shoka lenye damu, huku vitu mbalimbali vikiwa havipo.

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...