Search This Blog
Sunday, July 7, 2019
Brazil yatwaa kombe la Copa America 2019
Brazil yatwaa ubingwa wa kombe la Copa America 2019 ikiwa ni mara ya 9 kuchukua ubingwa huo. Brazil wameichapa Peru goli 30-0 kwenye mchezo wa fainali.
Wakati huo huo Nahodha wa Brazil Dani Alves ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Michuano ya Copa America 2019. Dani Alves amekuwa ni mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kushinda makombe 40.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment