Search This Blog
Tuesday, July 16, 2019
Biashara United yaanza kutambulisha wachezaji wake wapya
Uongozi wa timu ya Biashara United Mara inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imenza kutambulisha nyota wake ambao wataitumikia timu hiyo katika msimu ujao wa ligi kuu na mashindano mengine.
Wachezaji waliotambulishwa leo ni Victor Hangaya aliyesajiliwa kutoka Mbeya City pamoja na Ally Kombo kutoka Mbao FC.
Katibu wa kamati ya usajili ya timu hiyo Idrisa Majamba amesema usajili wa msimu huu utazingatia matakwa ya kocha wao Amri Said kwa kiasi kikubwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment