Search This Blog

Wednesday, July 17, 2019

Balozi Kagasheki Arusha Kijembe Omba Kwa Makini Usije Kuwa Mfungwa


Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki, amerusha jiwe gizani akisema omba kwa umakini usije kuwa mfungwa wa maombi yako kesho.

Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter alisema unachokiomba leo na kupatiwa kinaweza kuwa na madhara kwako kesho.

Aliandika ujumbe unaosomeka hivi:” Mara nyingi mwenyezi Mungu, Mfalme wa Wafalme, hukupa unachoomba  ukiombacho Leo na kupatiwa chaweza kuwa na madhara kwako kesho. Mwenyezi Mungu anajuwa kila jambo lako na anayo elimu yote kuhusu hali yako. Omba kwa  umakini, usije kuwa mfungwa wa maombi yako kesho,”


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...