Search This Blog

Tuesday, July 30, 2019

Babutale ‘Rayvanny Alikuwa Anapanda Malori Kutoka Mbeya Kuja Dar, Alikuwa Msumbufu Anapiga Simu Kila Muda, Nilitaka Nimblock’


Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amefunguka kuhusu maisha ya msanii aliyochini ya lebo ya WCB ambaye alishawahi kufanya kazi na lebo ya muziki ya Tip Top Rayvanny, ambaye amesema kuwa Rayvanny alikuwa anamsumbua sana kipindi bado hajatoka nma alikaa miaka minne mpaka kufahamika kwenye muziki.

Akiongea katika kipindi cha block 98 kinachoruka wasafi fm Tale alisema haya:-

VIDEO:


By Ally Juma.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...