Refa akiwaonyesha kadi nyekundu mshambuliaji Lionel Messi wa Argentina na beki Gary Medel wa Chile (jezi nyekundu) dakika ya 37 baada ya wawili hao kugombana usiku wa Jumamosi katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu michuano ya Copa America.
Argentina ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Sergio Aguero dakika ya 12 na Paulo Dybala dakika ya 22, wakati la Chile lilifungwa na Arturo Vidal kwa penalti dakika ya 59.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment