Search This Blog
Wednesday, June 5, 2019
Wanawake Mlio Kwenye ndoa Msizoee Ndoa...Kuweni Wabunifu
Msijibweteke...
Mwanamke Mpumbavu ataivunja ndoa yake mwenyewe.
Msichukulie poa eti ' he is my husband now'..... You be like " I own him"..
Mwanamke mwenye akili na mawazo kama hayo.
Unaanza kujiachia kipumbavu tu....
You used to make a dinner for ur husband ...you dont do more..
You used to make a bath or prepare one for ur husband...you dont do no more.
You used to eat together ....you dont do it no more.
You used to ask him out when in courtship but after marriage u never did...
You used to make a bed, well dressed.. You dont do it no more...
...aisee yako mengiiii... Nsiwachoshe. Ila nawakumbuhsha wanawake ambao mpo kwenye ndoa na mnajisahau..
Mnaanza kuwa legelege. Mind you ..just mind you.. Huko pembeni kuna watu wanafanya yootee on ur behalf...
I'll be back.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment