Search This Blog

Thursday, June 6, 2019

Waliokuwa wakihoji Ommy Dimpoz anaenda Ulaya kufanya nini, Jibu hili hapa


Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amewafunga mdomo watu waliokuwa wanahoji ameenda Ulaya kufanya nini baada ya kupost picha akiwa na mtoto mdogo anaedaiwa kuwa ni wake.

Dimpoz, kupitia ukurasa wa Instagram wa Ommy Dimpoz ameandika caption ambayo wengi wameipigia mstari na kusema kuwa inawezekana yule ni mtoto wake, Ommy hakutaja jina la mtoto huyo lakini alionekana akiwa nae Aiport ya Barcelona kama wanasafiri nae hivi.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...