Search This Blog

Thursday, June 6, 2019

VIDEO: Huu ndio muonekano wa soko la kisasa Mkoani Dodoma


Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin kunambi,amesema kuwa miradi inayotekelezwa jijini humo ikiwemo ya Ujenzi wa Soko na Stand ya kisasa umefikia katika hatua nzuri.
Kunambi ameyasema hayo wakati wa ziara ya Naibu waziri wa TAMISEMI,Mh.Mwitta Waitara alipotembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya jiji hilo,

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...