Timu ya taifa ya Uturuki yailaza timu ya Ufaransa 2 - 0 katika mechi iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa Euro 2020
Mechi kali kati ya Ufaransa na Uturuki ilichezwa katika uwanja wa Konya Kusini mwa Uturuki .
Mechi hiyo kali katika kipindi cha kwanza cha mchezo, Uturuki ilijipatia magoli yake mawili huku Ufaransa ikiendelea na juhudi zake kutaka kurudisha magoli bila ya kufaulu.
Kan Ayhan amefunga bao la kwanza na kufautiwa na Cengiz Ünder katika dakika ya 40.

No comments:
Post a Comment