Search This Blog

Wednesday, June 19, 2019

Picha: NBS yaadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma kwa kuwajengea uelewa wanafunzi

Kaimu Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Stambuli Mapunda akizungumza na Wanafunzi wa Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 

Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bibi. Mariam Katemba akiwasilisha mada kuhusu matokeo ya hali ya maambukizi ya Ukimwi kwa vijana mbele ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Seif Kuchengo akiwasilisha mada kuhusu Sensa mbele ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 






No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...