Search This Blog

Monday, June 10, 2019

Nimekupeleka ujaribu U-RAS ukisimamia vibaya nitakutumbua tena - Rais Magufuli


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Kichere ambaye kwasasa ni RAS akafanye kazi kwa bidii akishindwa atamtoa tena.

"Na walipokusema siku ile wala hujui, unamuangalia mtu wa nyuma yako utawaangalia lini utakuta awapo nikaona ni nafuu na wewe utoke hapo hapo, kwahiyo tumekupeleka huko ukajaribu U-RAS ukiusimamia vibaya na kule nako tunakutoa, sifichi ndugu yangu tukifichana kama ni aibu ya kuficha mimi sina," alisema Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi wateule aliwateua.

Rais Magufulu alitengua uteuzi wa Kichere aliyekuwa Kamishna Mamlaka ya Mapato (TRA) na ambaye kwasasa ni Katibu Tawala Mkoa wa Njombe.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...