Search This Blog

Sunday, June 16, 2019

Mwenyekiti wa Tume ya Madini atembelea uzalisha makaa ya mawe


Mwenyekiti wa Tume ya Madini Prof. Idris Kikula na Kamishna wa Tume hiyo Prof. Abdulkarim Mruma wakiwa chini kwenye mgodi wa kampuni ya TANCOAL inayo zalisha makaa ya mawe walipotembelea eneo la uzalishaji mgodini hapo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...