Search This Blog
Monday, June 24, 2019
Mwanamuziki Cardi B APAGAWA na Muziki wa Afrika
Msanii wa Marekani rappa Cardi B amepagawa na muziki wa Afrika baada ya Somadjozi kushinda tuzo ya Best New Art, International Act, amesema kuwa ameshangazwa na jinsi Afrobeats inavyoteka Marekani.
Kupitia Insta story yake rapa huyo amefunguka namna anavyofurahi kuona muziki wa Afrobeats ukikua kila kukicha, ametolea mfano furaha alikuwnayo Somadjozi kutoka Afrika Kusini hadi akaanza kulia baada ya kushinda tuzo ya Best New Art, International Act katika usiku wa tuzo za BET Awrads jana.
Tuzo hizo ambazo zilifanyika katika ukumbi a Mcrosoft Thearter jijini Los Angeles Marekani, Cardi B ameibuka na tuzo ya Best female HipHop Artist mwaka 2019 huku akiongoza kwa kutajwa katika vipengele saba.
Hata hivyo rapa huyo ambae ameteka soko la HipHop tayari ameshilikishwa kwenye baadhi ya nyimbo na wasanii wa kubwa nchini humo akiwemo Dj Khalid, Bruno Mars na wengine wengi.
Aidha mtoto wa rapa Cardi B aliyezaa pamoja na rapa offeset kutoka katika kundi la Migoes anaejulikana kwa jina la Kulture anatarajia kutimiza mwaka mmoja Julai 10 mwaka huu na amesha ahidiwa zawadi za gharama na wazazi wake hao.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Cardi B na Offset wamepanga kumpendezesha mtoto wao kwa vito tha thamani mwilini, Sonara aliyepatiwa kazi hiyo Elliante amesema kuwa Cardi B amelipa kiasi cha Tsh millioni 220 ambapo hafla hiyo itagharimu kiasi cha $400k sawa na Tsh millioni 900.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment