Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe alikuwepo kwenye mechi ya sita ya fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Mareekani, NBA 2019 Uwanja wa Oracle Arena mjini Oakland, California, Toronto Raptors wakitwaa taji lao la kwanza na la kwanza pia la michuanon hiyo kwa timu ya Canada baada ya kuifunga Golden State Warriors 114-110 usiku wa Alhamis.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment