Search This Blog

Thursday, June 13, 2019

Harmonize awa zawadia wazazi wake Magari


Msanii wa muziki nchini, kutoka lebo ya WCB,  Harmonize amewazawadia wazazi wake gari kila mmoja na Gari lake.


Harmonize kupitia insta story ya akaunti yake Instagram, ame-share zawadi ya Magari mawili aina ya Toyota Harrier aliyowazawadia wazazi wake, Baba na Mama.

Watu mashuhuri wamemiminika kwenye page yake ya Instagram kumpa hongera na kumpa baraka huku wengine wakipata funzo la kuwakumbuka na kuwasaidia wazazi pindi wanapopata kitu chochote.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...