Search This Blog

Sunday, June 16, 2019

'Game' haijabadilika ila wasanii ndio wamebadilika - PNC


Msanii wa Muziki, PNC  amesema game ya mziki huo haijabadilika ila wasanii ndio wamebadilika.

PNC amesema kuwa tangu aanze kufanya muziki mpaka leo hela kubwa ambayo aliwahi kuishika ilikuwa ni milioni moja.

“Kiukweli kwa upande wangu game haijabadilika bali naona wasanii ndiyo wamebadilika. Toka nimeanza kufanya muziki mpaka leo hela kubwa ambayo nilishawahi kuishika ilikuwa ni million moja,” PNC ameiambia Clouds FM.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...