Search This Blog
Saturday, May 25, 2019
Wizara ya Maji yakamilisha ahadi ya Rais Magufuli Maswa
Wizara ya Maji imekamilisha ahadi ya Mhe. Rais Dkt. John Magufuli kwa ujenzi wa chujio la maji la Maswa. Vijiji 11 vyenye wakazi wapatao elfu 78 wanapata huduma ya maji safi. Mahitaji kwa siku ni mita za ujazo 5000, maji yanayozalishwa ni mita za ujazo 10,380.
http://bit.ly/2QnewBH
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment