Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kulia,akimvisha kitambulisho cha ujasiliamali mchimbaji mdogo wa Madini ya vito kutoka wilaya ya Tunduru Bakari Chimwaga kushoto ambaye alikuwa miongoni mwa wachimbaji wadogo waliopata vitambulisho vya wajasilimali ikiwa ni kuitikia agizo la Rais Dkt John Magufuri.
Picha na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma
No comments:
Post a Comment