Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino Athuman Masasi,kuandika barua ya kujieleza kuwa ni kwanini ameshindwa kufikia lengo la ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali vilivyotolewa na Mh.Rais Dkt.John Pombe Magufuli.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USIKOSE KU-SUBSCRIBE..
http://bit.ly/2JZmdgh

No comments:
Post a Comment