Search This Blog

Wednesday, May 29, 2019

Taasisi ya LSF yatoa elimu kwa wanahabari namna inavyofanya kazi kuiwezesha jamii kupata huduma za msaada wa sheria na haki zao

Pichani aliyesimama ni meneja mawasilano wa shirika lisilo la kiserikali linalotoa ushauri wa msaada wa kisheria la Legal Services Facility (LSF) Jane Matinde leo akitoa mada kuhusu shirika hilo namna ambavyo linavyofanya kazi na jamii kuhusu kutambua haki zao na sheria lakini pia kuboresha ushirikiano kati ya shirika hilo na waandishi wa habari ambapo yanayoendeshwa na shirika hilo. 
Pichani ni waandishi wa habari wa mikoa ya Kusini Lindi, Mtwara na Ruvuma leo wakiwa katika mafunzo ya siku moja kuhusu kuboresha ushirikiano kati ya shirika lisilo la kiserikali linalotoa ushauri wa msaada wa kisheria la Legal Services Facility (LSF) na waandishi wa habari yanayoendeshwa na shirika hilo. 
Pichani aliyesimama ni mwezeshaji wa mafunzo ya siku moja kwa waandishi wa habari wa mikoa ya Kusini Lindi, Mtwara na Ruvuma Nevile Meena ambaye pia ni katibu wa Jukwaa la wahariri nchini (TEF) leo akitoa mada kuhusu kuboresha ushirikiano kati ya shirika lisilo la kiserikali linalotoa ushauri wa msaada wa kisheria la Legal Services Facility (LSF) na waandishi wa habari mafunzo ambapo yanayoendeshwa na shirika hilo lakini pia namna ambavyo wanapaswa kutoa elimu kwa jamii kuhusu kutambua haki zao na sheria. (PICHA NA FATNA MWINYIMKUU)



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...