Search This Blog
Monday, May 27, 2019
Soma Kisa Hichi Kilichomkuta Huyu Baba Baada ya Simu Kuita Bahati Mbaya Akiwa Kanisani
Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani ๐☎
Mchungaji alimfokea
Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada
Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa kutokuwa makini
Akajisikia vibaya sana, huzuni, na aibu juu
Jioni yake, ili kupoteza mawazo, alikwenda bar
Aliagiza bia, akaiweka mezani. Kwa kuwa alikuwa na mawazo mengi, akaigusa pombe ikamwagika ๐ป๐บ
Muhudumu alikuja, akampa pole kwa unyenyekevu, na akafuta meza kiustaarabu, kisha akamfuta jamaa ilipommwagikia kiunyenyekevu
Meneja wa bar ile alimpa jamaa bia ya ofa kufidia iliyomwagika ๐ฅ๐ฅ๐พ
Muhudumu wa kaunta alipomletea alim'busu akim'bembeleza, "Usijali, hakuna ambaye hana makosa!"
Jamaa hajawahi kukosa 'ibada' ktk bar hiyo tangu siku ile
SOMO:
Unavyowatendea watu kunaweza kujenga au kuwabomoa, hasa wanapokosea
http://bit.ly/2I0xt9r
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment