Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wajumbe wa bodi wa shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart (SACH) la nchini Israel wakati wa kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku saba inayofanyika katika taasisi hiyo. Jumla ya watoto 20 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo kwa kuziba matundu yaliyopo kwenye moyo na kuzibua mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo.
: Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wajumbe wa bodi wa shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart (SACH) la nchini Israel wakati wa kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku saba inayofanyika katika taasisi hiyo. Jumla ya watoto 20 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo kwa kuziba matundu yaliyopo kwenye moyo na kuzibua mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo.
Mjumbe wa bodi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart (SACH) la nchini Israel Riva Grinshpan akizungumza na menejimenti ya taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wajumbe wa bodi hiyo wakati wa kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku saba inayofanyika katika taasisi hiyo. Jumla ya watoto 20 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo kwa kuziba matundu yaliyopo kwenye moyo na kuzibua mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo.
No comments:
Post a Comment