Search This Blog
Friday, May 31, 2019
R Kelly Akabiliwa na Mashtaka Mapya 11
Mkongwe wa muziki nchini Marekani R Kelly ameshtakiwa kwa makosa 11 ya unyanyasaji wa kingono kwa mabinti waliokuwa chini na umri wa miaka 16.
Kwamujibu wa vyombo vya habari nchini Marekani, Mahakama imeripotiwa kuwa vitendo hivyo vilifanywa kwa watoto wa umri kati ya miaka 13 na 16 na ikiwa itathibitika kufanya kitendo hicho atakabiliwa na adhabu kali kuliko adhabu nyingine anazokabiliwa nazo.
Mwanzoni mwa mwaka huu kellz alikabiliwa na mashtaka kumi ya unyanyasaji wa kingono, alikana kuhusika na vitendo hivyo na akaachiwa kwa dhamana.
Hata hivyo R kelly anaimani kubwa ya ushindi dhidi ya mashtaka yake kumi yanayo mkabili, huku kesi zake kuanza kusikilizwa hivi karibuni mjini Chicago.
Licha ya kesi ya unyanyasai wa kingono msanii huyo anakabiliwa na kesi ya ukwepaji kodi na kusafirisha wanawake kwaajili ya kufanyanao ngono.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment