Search This Blog

Thursday, May 30, 2019

Picha: Spika Ndugai akutana na uongozi wa Bunge la vijana

Spika wa Bunge, Job ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Vijana 2018/2019, Ndg. Zephania Sane pale uongozi wa Bunge hilo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Ndg. Ashiruna Muhunzi  na katibu wa Bunge, Ndg. Alphonsina Ambrosi
Spika wa Bunge, Job ndugai (kushoto) akikabidhiwa ripoti ya Bunge la Vijana 2018/2019 na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Job ndugai (Mwenye joho) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Bunge la Vijana 2018/2019 ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Walioongozwa na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane (wa nne kulia)



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...