Search This Blog
Thursday, May 30, 2019
Nyota Zenu Leo Alhamisi 30 May 2019
NYOTA ZENU LEO AlHAMISI 30/ MAY/ 2019
MAPACHA ( May 21- Juni 20)
Inaonekana kuwa mambo ya kipesa yanakutatiza sana na hutoweza kujikwamua na hali hiyo ngumu mpaka upate msaada wa mtu Fulani ambaye uliwahi kumuomba msaada. Mwendee hivi sasa.
KAA ( Juni 21- Julai 22)
Bahati itakujia hivi karibuni na utapata pesa, kuwa muangalifu katika matumizi yako la sivyo unaweza kuja kujuta hapo baadae kutokana na matumizi mabaya uliyoyafanya..
SIMBA (Julai 22-Agosti 22)
Afya yako na ya jamaa yako inaonekana kuathirika kidogo hivyo unashauriwa upate matibabu haraka iwezekanavyo la sivyo matatizo yatazidi na madhara yatakuwa makubwa sana.
MASHUKE (Agosti 23-Sep 23)
Leo Jaribu uwe mtu mwenye roho nzuri kwa kila mtu kwa sababu kwa kufanya hivyo unaweza kupata faida usiyoitegemea ambayo itakunufaisha kimaisha wewe na familia yako.
MIZANI ( Sep 23-Oktoba 23)
Wakati wa starehe umekwisha, sasa ni wakati wako wa kufikiria juu ya maisha yako. Mambo sio mazuri kwa upande wako na usifanye mchezo utaharibikiwa pakubwa.
NGE (Oktoba 23-Nov 22)
Mpango wowote uliokuwa nao, sasa ndio wakati wake hasa wa kuutekeleza kutokana na hizo fedha kidogo ulizopata, muda ukipita hutafanya lolote, wakati ndio huu
MSHALE (Nov 22- Desemba 21)
Umaarufu wako ulionao utakusaidia kufanikisha mambo Fulani na kukuletea faida kubwa ya kipesa. Usiwe mbali na unashauriwa fedha hizo utakazopata zitumie na jamaa zako pamoja na familia yako.
MBUZI ( Desemba 21- Jan 20)
Kuna kitu kimekutoka na hapo ulipo unafikiria sana kuhusiana na kitu hicho. Fanya juu chini ukipate kwa sababu madhara yake yanaonekana yatakuwa makubwa sana
NDOO ( Jan 20- February 19)
Mtu ambaye hujakutana nae kwa siku nyingi atarudi na atakushirikisha katika mipango ya faida katika maisha yako, hivyo basi kaa tayari kumsubiri wakati wowote atawasili.
SAMAKI ( February 20- March 20)
Mapenzi yaliyokutoka au kuharibika hayatatengemaa tena, pamoja na hayo usijute kwa sababu kuna mazuri mbele ya safari ambayo yatakujia wiki hii kutoka sehemu ambayo hukuitegemea, ondoa khofu.
PUNDA ( March 20-April 20)
Kazi unayofanya kwa sasa ni nzuri ila unatakiwa kufanya bidii zaidi katika kazi hiyo na tafuta njia zaidi za kupata pesa. Leo ni siku iliyogawanyika nusu kwa nusu nzuri na mbaya.
NGOMBE( April 21- May 20)
Wafanyakazi wenzio wanaweza kukufaa katika kazi zako jitahidi uone hukwami kumaliza jukumu la kikazi ulilopewa kila siku la si hivyo fitina ofisini zitakuandama
SHEIKHE ISAYA ATAKUSAIDIA KATIKA MAMBO yafatayo, kusafisha nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku. ingia katika pager yetu ya Facebook. >>tumaini tiba asili << utaona yota yako ama kwa ushauri piga simu au whatsapp +25574549518 0682644040
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment