NYOTA YAKO LEO JUMATANO 29/MAY/ 2019:
🔯MAPACHA-
(May 22– Juni 21)
Siku ya leo acha shughuli zingine zote utafute ushauri. Kabla ya mambo yako hayajaharibika, katika kipindi hiki inaonekana kuwa mambo yako yamefungika na hii ni balaa kwa sababu mambo yako lazima yarekebishwe haraka iwezekanavyo tofauti na hapo utakwama.
🔯KAA- (Juni 22– Julai 23)
Safari unayoandaa ni nzuri na itakufaa hivyo basi unashauriwa uendelee na mipango hiyo kwa sababu vizingiti ulivyoogopa vimeondoka kabisa na kuna mafanikio huko uendako na utasaidiwa utakavyo.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Siku ya leo kuna uwezekano wa kufanikiwa ikiwa utafanya mambo upesi Chukua jukumu hilo mara moja, Mtu aliyekuahidi msaada wa Kifedha atakuwa kigeugeu na itakubidi ujifunze kujitegemea na kujisaidia.
🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Siku ya leo kazi zitakuchosha sana, fikra za kinyumbani zitakuacha ukiwa huna raha kwa sababu pesa hazitokaa mkononi mwako ipasavyo hali hii imewakumba watu wengi lakini ni bora utafute suluhisho kivyako.
🔯MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)
Mipango ya Kazi ambao uliyokuwa nayo ni mzuri utekeleze mara moja ili usitwaliwe na mtu mwingine Leo ni siku yenye furaha na fanaka kutokana na mambo yote utakayoyafanya leo.
🔯NG'E- (Oktoba 24– Novemba 22)
Habari njema itakufikia kutoka kwa Mtu na utaanza mipango yako kama ulivyokuwa umekadiria. Kuwa muangalifu sana katika shughuliii usijipate mikononi kwa watu wabaya.
🔯MSHALE- (Novemba 23– Desemba 21)
Afya yako au ya mtu wako haimo tena hatarini, sasa unaweza kujishughulisha na mambo mengine kama vile kazi na mambo yatakayonogesha penzi lako.
🔯MBUZI- (Desemba 22– January 20)
Mambo yako hayatafanikiwa au kufaulu siku ya leo, kutokana na hilo itakubidi ufanye mambo kwa taratibu tena kwa mpango Uzuri wa kufanya mambo pole pole ukiwa katika hali hii ni kwamba hata ukijikwaa huwezi kuumia sana na hata ukikosea huwezi kujuta.
🔯NDOO- (January 21– February 19)
Mtu aliyekuacha siku zilizopita atakupigia simu, unashauriwa umwepuke kwa sababu lengo lake siyo zuri kwako, unapopata marafiki wapya wiki hii unashauriwa uwachuguze kwa makini kwa sababu kuna walaghai wengi.
🔯SAMAKI- (February 20– March 20)
Mapatano unayoyasubiri kwa hamu kubwa hayatapatikana kwa haraka, kuna kizuizi ambacho ni lazima kiondolewe ili milango iliyofungika ifunguke upesi, vinginevyo utajuta mwenyewe.
🔯PUNDA- (March 21– April 20)
Leo ni siku nzuri ikiwa utajishughulisha na mambo ya kinyumbani, inaonekana unapenda kufanya mambo yako kwa haraka na hali hiyo inakusababisha wewe kuyumba, mara hii usiwe na pupa na utafanikiwa katika mipango yako yote.
🔯NG'OMBE- (April 21– May 21)
Siku ya leo kila kitu kiangalie kwa makini usije ukaingia kwenye mitego mingi ambayo kinyota iko mbele yako na huioni kwa wazo la siku zijazo si vibaya ukatoa sadaka kwa vile tupo ukingoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadan kitendo hicho kitafungua milango ya kipato.
SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru watu wote mliorudi kutowa shukrani kwake. na wengine mlioko nje ya nchi. sheikhe isaya. anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kukuza biashara yako, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE. MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 au 0682 644040
www.tumainitibaasili.co.tz
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment