Mtanzania Dk Askwar Hilonga wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Arusha amepokea zawadi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kubuni njia ya kusafisha maji kwa kutumia 'nanotechnology.' Amepewa zawadi hiyo katika mkutano unaoendelea Jijini Geneva, Uswisi.
http://bit.ly/2WriXkr
No comments:
Post a Comment