Search This Blog
Friday, May 24, 2019
Mbunge ataka vivutio vya Utalii vitangazwe kama Manara anavyoitangaza Simba
Mbunge wa Mufindi Kusini Cosato Chumi (CCM), ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuvitangaza vivutio vya Utalii kama ambavyo Msemaji wa Simba Haji Manara anavyoitangaza Simba.
Chumi ametoa kauli hiyo bungeni wakati akichangia Mjadala wa Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka 2019-2020.
“Katika suala la michezo kuna msemaji anaitwa Manara pia kuna Thobias Kifaru wa Mtibwa Sugar wale wanazitangaza timu zao sasa kwanini tusihamashe watu waende katika vivutio vyetu kama ambavyo wanahamasisha wale wasemaji.”amehoji Chumi.
Aidha Chumi alisema Manara anahamasisha Simba inajaza uwanja sasa ni kwanini wizara isimtumie ili kuvitangaza vivutio vya utalii.
http://bit.ly/2QnyxIj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment