Search This Blog

Wednesday, May 29, 2019

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Bungeni jijini Dodoma Mei 28, 2019.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiteta na Naibu wa Waziri wake, Subira Mgalu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019.
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akielekea kwenye eneo maalum la kusoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Elimu ,Sayansi, Tekinolojina na Ufundi, Profesa, Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akisalimiana na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...