Search This Blog

Tuesday, May 28, 2019

Maji ya Kandoro" Yapigwa Stop!

Kuna maneno yanasambaa kuwa wale wafanyabiashara wanaouza maji ya kufunga kwenye mifuko wapo salama sababu zoezi hilo haligusi mifuko ambayo ni vifungashio vya bidhaa" 


 "Hilo suala halipo ikifika june mosi hatutaki kuona maji yanayoitwa ya kandoro tena huko mtaani kwanza sina uhakika na usalama wa maji hayo." Samia Suluhu Hassan-Makamu wa Rais. 


Makamu wa Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan leo amekutana na viongozi na watendaji wa Mkoa wa Dar es Salaam hapa ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere kujadili namna ya utekelezaji wa marufuku ya matumizi ya mifuko ya pastiki utakavyokuwa. 


Utelekezaji wa Marufuku ya matumizi ya mifuko ya Plastiki unatarajiwa kuanza June Mosi mwaka huu.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...