Search This Blog
Tuesday, May 28, 2019
Lazaro Nyalandu akamatwa na TAKUKURU
Baada ya kuenea kwa Taarifa nyingi katika Mitandao ya kijamii kukamatwa kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mstaafu, Lazaro Nyalandu. Hatimae Kamanda wa Polisi amethibitishaa.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida amesema Lazaro Nyalandu anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Singida na sio Jeshi la Polisi.
Kwa upande wake,Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje (CHADEMA), John Mrema kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika "TAKUKURU wamempeleka Polisi Lazaro Nyalandu na wenzake baada ya kumkuta hana makosa ya rushwa. Hatujui huko Polisi amepelekwa ili akatafitiwe makosa gani mapya. Hivyo yuko kituo cha Polisi Kati Singida."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment