Search This Blog

Thursday, May 23, 2019

Kijana Afukua Kaburi la Baba Yake ili Kuchukua Blanketi

Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha amefukua kaburi la Baba yake aliyezikwa miaka mitatu iliyopita na kisha kutoa mabaki ya mwili wa marehemu nje ya kaburi

Joseph ameeleza kuwa alifukua kaburi hilo kwa lengo la kuchukua blanketi alilozikwa nalo marehemu kwa ajili ya kujisitiri wakati huu wa hali ya baridi  - #regrann  



http://bit.ly/2YNmM0H

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...