Search This Blog

Tuesday, May 28, 2019

Hamisa Mobetto aangukia mikononi mwa Christian Bella


Mwanamitindo, Mwimbaji na muigizaji,  Hamisa Mobetto ameonyesha kuwa yupo mbioni kuachia wimbo wake mpya akiwa na Christian Bella.

Katika ukurasa wa Hamisa ameweka picha nyingi na Clip za video zikiwa zimesambaa mitandaoni huku zikionyesha wawili hao wako Dubai.


Tangu Mwadada huyo aanze kuachia nyimbo, huu utakuwa ni wimbo wake wa nne.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...