Search This Blog
Tuesday, May 28, 2019
Fahamu ugonjwa wa kuvimba macho kwa kuku na jinsi ya kutibu
Ugonjwa wa kuvimba macho kwa kuku ni miongoni mwa magonjwa ambayo chanzo chake mara nyingi hutokana na mfumo wa hewa. Haya ni magonjwa ambayo ni sugu na huwaathiri kuku kwa kiwango kikubwa sana.
Sasa tuone chanzo cha ugonjwa huu wa kuvimba macho
• Maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa na kwenye vimelea
• Kupitia mfumo wa hewa kutoka kuku wagonjwa
• Kupitia mayai, hivyo maambukizi huendelea kutoka kizazi hadi kizazi
Dalili za ugonjwa huu ni;
• Kuku kukoroma
• Kuku hutoa makamasi
• Kuku wanakohoa kwa muda mrefu, wiki hadi mwezi
• Kuvimba macho
• Kutingisha kichwa
• Vivo vya kuku viaweza kufikia hadi asilimia 20 Uchunguzi
• Kamasi nzito zenye usaha zilizotapakaa kwenye pia, koromeo, mapafu na vifuko vya hewa
Jinsi ya kutibu ugonjwa huu.
• Madawa aina ya sulfa na antibiotiki
• Kwa ushauri zaidi waone watalamu wa vifugo ili wakupe maelekezo kamili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment