Search This Blog
Monday, May 27, 2019
Chelsea yapata Pigo Kuelekea Mchezo wa fainali
Kiungo wa Chelsea N'Golo Kante anaweza kuukosa mchezo wa fainali ya Europa League kutokana na kupata majeruhi kwenye mazoezi jana.
Kante anategemewa kutazamwa kwa ukaribu maendeleo ya afya yake kabla ya fainali hiyo itakayochezwa uwanja wa Baku dhidi ya Arsenal Mei 29.
Maurizio Sarri Meneja wa Chelsea amesema kuwa bado anamtazama kijana wake kwa ukaribu kabla ya kufanya maamuzi ya kumtafutia mbadala wake kwenye mchezo wake huo muhimu.
Wachezaji wengi wa Chelsea ni majeruhi wanasumbuliwa na mifupa, ikiwa ni pamoja na Callum Hudson-Odoi, Ruben Loftus-Cheek na Antonio Rudiger wote wapo kwenye maumivu makali.
http://bit.ly/2Ib9ept
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment