Search This Blog

Monday, May 27, 2019

Beki huyu wa Simba SC atua Yanga


Wakati msimu wa Ligi Kuu Bara ukielekea ukingoni, tetesi za wachezaji kuhama klabu moja kwenda nyingine zimezidi kushika kasi.

Imeelezwa kuwa beki katili Lamine Moro raia wa Ghana aliyeichezea klabu ya Simba kwenye michuano ya Sportpesa Cup amewashatua Dar kumalizana na Yanga.

Moro alikuwa na Simba katika mashindano hayo ya SportPesa ikiwa ni sehemu yake ya majaribio.

Licha ya kucheza, Simba haikuonekana kuwa na nia naye na badala yake aliachwa akarejea kwao bila kupata mkataba.

http://bit.ly/2W3SFpa

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...