Search This Blog

Saturday, July 24, 2021

Serikali ya Ufaransa yatoa tahadhari ya ugaidi kutokana na tishio la Al-Qaeda


Kwenye video iliyochapishwa mnamo Julai 15, kituo cha As-Sahab kwenye programu ya mawasiliano ya mitandao ya kijamii, ambayo inasemekana ni ya Al-Qaeda, majina ya Rais Emmanuel Macron na Waziri wa Mambo ya Ndani Gerard Darmanin yalitishiwa, pamoja na viongozi wengine wa Ufaransa.

Katika barua iliyotumwa kwa magavana, Wizara ya Mambo ya Ndani iliwaomba wawe macho dhidi ya vitendo vya kigaidi wakati wa majira ya joto.

Waziri Darmanin alitoa taarifa juu ya mada hiyo kwenye akaunti yake ya Twitter na kusema, "Tishio la ugaidi bado lipo. Niliwataka magavana kuwa macho zaidi wakati wote wa msimu wa kiangazi."



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...