Search This Blog

Thursday, July 29, 2021

Hii hapa ratiba ya mashindano ya kombe la Kagame


RATIBA ya Cecafa Kagame Cup 2021 imetoka huku Tanzania ikiwakilishwa na Yanga, Azam na KMKM, Simba walithibitisha kujiweka kando katika mashindano haya.


Mwendo utakuwa namna hii:-


Agosti 1: KCCA FC v KMKM SC (Chamazi Stadium)


Agosti 2: Azam FC v Tusker FC (Chamazi Stadium)


Young Africans v Express FC (Mkapa Stadium)


Agosti 3: Le Messager Ngozi v KCCA FC (Chamazi Stadium)


Agosti 4: Altabara v Azam FC (Chamazi Stadium)


Nyasa Big Bullets v Young Africans (Mkapa Stadium)


Agosti 5: KMKM SC v Le Messager Ngozi (Chamazi Stadium)


Agosti 6: Tusker v Altabara (Chamazi Stadium)


Express FC v Nyasa Big Bullets (Mkapa Stadium)

.

.

MAKUNDI KAGAME CUP. 


Kundi A

1-KCCA (Uganda)

2-Le Messanger Ngozi FC (Burundi)

3-KMKM (Zanzibar)


Kundi B

1-Azam FC (Tanzania)

2-Tusker FC (Kenya)

3-Atlabara FC (Sudan Kusini)

 

Kundi C

1-Yanga SC (Tanzania)

2-Express FC (Uganda)

3-Nyassa Big Bullets (Malawi)



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...