Search This Blog

Friday, July 16, 2021

Bocco kinara wa mabao ndani ya ardhi ya Bongo amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Juni.

 


JOHN Bocco kinara wa mabao ndani ya ardhi ya Bongo amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi Juni.

Bocco ametupia mabao 15 anafuatiwa na Prince Dube mwenye mabao 14 ila anakipiga Azam FC.

Ndani ya mwezi Juni, Bocco alitupia mabao matatu  baada ya Simba kucheza mechi tatu na ilishinda mechi zote hizo na kubaki nafasi ya kwanza.

Aliwashinda wachezaji wenzake wawili ambao aliingia nao fainali ambao ni Feisal Salum wa Yanga pamoja na Idd Seleman wa Azam FC.

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa leo Julai 16 na Bodi ya Ligi Tanzania. 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...